VSOMO ni nini

 • Ni mfumo wa mafunzo ya ufundi kwa njia ya simu uliowezeshwa kwa ushirikiano wa Airtel na Veta

Jinsi ya kujiunga na VSOMO

 • Kwa kutumia smartphone yako ya Android, pakua App ya Vsomo kupitia Google playstore na ujisajili BURE

Vigezo na Masharti to Kozi zilizopo

Huduma hii ni kwa wateja wa Airtel tu.

 • Gharama ya kila kozi ni Tsh 120,000/=
 • Kulipia kupitia Airtel Money piga *150*60#
 • Wahitimu kutunukiwa cheti na mamlaka ya ufundi stadi nchini VETA
 • Kwa maelezo Zaidi Tembelea www.airtelfursa.com

Kozi zilizopo

 • Ufundi pikipiki (bodaboda)
 • Ufundi umeme wa manyumbani
 • Ufundi wa simu za mkononi
 • Ufundi Aluminium
 • Utaalamu wa masuala ya urembo
 • Ufundi wa kuchomea vyuma

Top
Logo