VSOMO ni nini

 • Ni mfumo wa mafunzo ya ufundi kwa njia ya simu uliowezeshwa kwa ushirikiano wa Airtel na Veta

Jinsi ya kujiunga na VSOMO

 • Kwa kutumia smartphone yako ya Android, pakua App ya Vsomo kupitia Google playstore na ujisajili BURE

Vigezo na masharti

Huduma hii ni kwa wateja wa Airtel tu.

 • Gharama ya kila kozi ni Tsh 120,000/=
 • Kulipia kupitia Airtel Money piga *150*60#
 • Wahitimu kutunukiwa cheti na mamlaka ya ufundi stadi nchini VETA

VETA  KOZI

 • Misingi ya ufundi wa pikipiki
 • Kuweka umeme
 • Ufundi wa simu
 • Urembo
 • Kuchomelea na kuunda vyuma
 • Kusanifu maumbo ya PVC
 • Kusanifu na kutengeneza maumbo ya PVC
 • Umeme wa magari
 • Matengenezo ya Kompyuta
 • Umeme wa viwandani
 • Huduma za chakula na mbinu za kuhudumia wateja
Top
Logo